Serikali ya wanafunzi ya Chuo kikuu cha Waislamu Morogoro inatarajia kutumia Tsh Milioni 7 katika Ujenzi wa Vimbweta chuoni hapa.
Hayo yalisemwa na Rais wa serikali ya Wanafunzi MUM tarehe 19-Machi-2017
Pichani ni mfano wa kimbweta kilichopo hapa chuon.
No comments:
Post a Comment