Kamati ya Maadili ya Wanafunzi-MUM inawataarifu kuwa kutakuwa na Kikao Cha Maadili Cha Kwanza Kwa Semisiter ya pili.
Siku: Ijumaa
Tarehe: 24/Machi/2017
Muda: Saa 10:20 jioni baada ya Swala ya Alasiri
Mahali: NAH (White Tent)
Wahusika: Wanafunzi wote wa MUM, NGAZI ZOTE
No comments:
Post a Comment